-
Good News Bible
For over twenty-five years the Good News Bible has been the most popular, truly easy-to-read Bible, offering a trustworthy translation based on the best original Greek and Hebrew sources. Ideal for the individual reader and used in thousands of schools and churches.
KSh1,250.00Good News Bible
KSh1,250.00 -
Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha … by Mwalimu Kipande
by Mwalimu Kipande
Stadi za Kiswahlli ni Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 3 ni kitabu cha ziada kilichoandakwa kwa mujibu wa mtaala mpya uegemeao umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017. Kitabu hiki kimejumuisha mada zote kuu na ndogo zilizomo katika ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 3. Isitoshe, mada kuu na ndogo zimepangwa kulingana na jinsi zilivyopongwa katika ruwaza hiyo. Fauka ya haya, yaliyomo yamewasitishwa kwa ubunifu wa hali ya juu kuyaoanisha na umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko, maadili miongoni mwa masuala mengine yanayofumbatwa na mtaala mpya uegemeao umilisi. Kitabu hiki kimejumuisha shughuli za aina nyingi za kufanywa na mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawili wawili na makundi ya wanafunzi. Kazi na shughuli za wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi katika makundi zinadhamiriwa kuimarisha stadi za kusikitiza na kuzungumza na vilevile umilisi wa ushirikiano na mawasiliano. Aidha, kitabu hiki kimesheheni vifungu vya kusoma na vya kuchangamsha vitakavyomsaidia mwanafunzi kuimarisha stadi ya kusoma. Stadi ya kuandika haijaachwa nyuma. Kitabu kinazo shughuli za kutosha za mwanafunzi iii kustawisha stadi ya kuandika. -
Kiswahili Fasaha Kidato cha 1 by Waititu
by Waititu
KSh800.00Kiswahili Fasaha Kidato cha 1 by Waititu
KSh800.00 -
Chemchemi za Kiswahili kidato cha 1 Mwongozo wa Mwalimu… by G.Waihiga,K.W.Wamitila
Mwongozo huu unapiga hatua pana zaidi ukilinganishwa na vitabu vingine vya aina yake ambavyo aghalabu huishia kuwa vitabu vya majibu tu.
Mwongozo huu wa mwalimu umenuiwa na bila shaka utafaulu katika:
- Kutoa maelezo yenye uketo kuhusu jinsi ya kufunza mada na vipengee mbalimbali katika kidato cha kwanza.
- Kumwongoza, kumwelekeza na kumpendekezea mwalimu jinsi ya kuendesha mafunzo mbalimbali.
- Kumpendekezea mwalimu vifaa mbalimbali vya kutumia katika kufunza mada tofauti tofauti, ambavyo vyapatikana kwa urahisi katika mazingira ya mwalimu na mwanafunzi wa kidato cha kwanza. Kumnasihi mwalimu namna ya kufaulu katika kuziwasilisha mada ambazo huenda zikawawia changamano wanafunzi wa kidato cha kwanza.
- Kumpa mwalimu tafsili na mazoezi ya ziada kwa wanafunzi wenye uwezo unaotofautiana
KSh905.00 -
Kamusi ya Karne ya 21
by EMAC BAKITA
Kamusi inayoakisi Maendeleo na Masuala Ibuka ya lugha ya Kiswahili
Vidahizo vipatavyo 42,000.KSh1,390.00Kamusi ya Karne ya 21
KSh1,390.00 -
Golden Bells 2nd Edition 2014
by Scripture Union of Kenya
Working with churches, Scripture Union of Kenya aims to make God’s word known to children, young people and families, and to encourage people of all ages to meet God daily through the Bible and prayer.
Vision:
To see children and young people following Jesus Christ, filled with hope and transforming their families and communities in Kenya.
Mission:
We exist to nurture children and youth, strengthen family life and help people engage with God through the Bible.KSh570.00Golden Bells 2nd Edition 2014
KSh570.00 -
Chemchemi za Kiswahili Kidato cha pili
9889966495211 KSh748.00Chemchemi za Kiswahili Kidato cha pili
KSh748.00
- International Curriculum
- TEXT
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- Donate








