Kiswahili Mufti Kioo cha Mtihani Mwongozo wa Mwalimu by Joseph Mwamburi, Wallah …

KSh744.00

In stock

by Joseph Mwamburi, Wallah Bin Wallah
Kiswahili Mufti 8: Mwongozo we Mwalimu unampa mwalimu maelezo kamili kuhusiana na mbinu mwafakaza kutayarisha, kuendesha na kutathmini vipindi vya Kiswahili darasani. Mwongozo huu mpana sana unampa mwalimu maelekezo mwafaka yatakayomwezesha kuviandaa na kuviendesha vizuri vipindi vinavyoshughulikia vipengele vifuatavyo:
Mwongozo huu una mifano mwafaka ya maazimio ya kazi na ratilp ya vipindi itakayomwongoza mwalimu kuzingatia mbinu zifaazo za kutekeleza malengo yote ya somo. Pia, una majibu ya maswali yote yaliyomo kwenye kitabu cha wanafunzi.

Category:

KSh744.00

Reviews (0)

Be the first to review “Kiswahili Mufti Kioo cha Mtihani Mwongozo wa Mwalimu by Joseph Mwamburi, Wallah …”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

Kiswahili Mufti Kioo cha Mtihani Mwongozo wa Mwalimu by Joseph Mwamburi, Wallah …

Kiswahili Mufti Kioo cha Mtihani Mwongozo wa Mwalimu by Joseph Mwamburi, Wallah …

KSh744.00

Add to Cart