-
-
Swila Arejea na Hadithi Nyingine 3C
by STORYMOJA
Buku anafurahia kula chakula kitamu cha mchwa wa kukaangwa kwa supu moto ya karoti wakati Kitiyi, nguchiro mdogo, anapobisha mlango wake. Buku anakataa kufungua mlango akisema hayuko tayari kushiriki chakula chake na wageni. Je, Buku atamruhusu Kitiyi kuingia nyumbani kwake?
Wazazi wa Kitiyi wanazama kwenye mafuriko ya mtoni, Kitiyi analazimika kutafuta msaada kutoka kwa Buku na Swila. Je, wanyama hawa wataungana kuwasaidia wazazi wa Kitiyi?
Sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa Swila inakaribia. Swila pia atamhitaji Buku kumpika kwenye sherehe yake. Je, Buku yuko tayari kumsamehe Swila na kumsaidia kupika?
Swila Arejea na Hadithi Nyingine humsaidia msomaji kuchunguza umuhimu wa kuwaonyesha watu upendo, kumheshimu kila mtu na kuishi kwa umoja.
KSh420.00Swila Arejea na Hadithi Nyingine 3C
KSh420.00 -
-
Tadubiri za Insha Darasa la 5:Mbinu na Mapambo
by Tsalwa Abubakar, John M.ngeera
Tadubiri za Insha: Mbinu na Mapambo, Darasa la 5 ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi na ubunifu wa hali ya juu kwa madhumuni ya kukidhi mahitaji ya wanafunzi na walimu katika shule za msingi – darasa la tano. Lugha iliyotumika ni rahisi kueleweka na wanafunzi wote kutoka mazingira mbalimbali.Waandishi wa kitabu hiki ni walimu stadi wenye tajriba pana ya kufundisha na kutahini Kiswahili – ngazi ya KCPE kwa miaka mingi. Wameangazia kwa undani na kwa mapana na marefu mikakati, mbinu, taratibu, dhana, kunga, miundo, mapambo na vipengele vinginevyo muhimu katika uandishi wa insha za kuvutia na za kuzoa alama za juu zaidi. Hii ni kwa kuhakikisha kwamba kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kuandika insha kwa namna na mtindo faridi wenye mnato wa kipekee.Mifano kadha ya insha mbalimbali imetolewa katika kitabu hiki ili kurahisisha uelewaji wa maelezo yaliyomo na pia kushadidia hoja muhimu.
KSh520.00 -
Tafakari ya Babu by Moran
by Moran
Tafakari ya Babu ni mkusanyo wa visa vifupivifupi ambavyo Bwana Mdoe ameshasimulia ama atasimulia wakati wa kusoma habari. Visa vilivyomo katika kitabu hiki vinasheheni mafunzo mengi mbali na ucheshi wa kuvunja mbavu. Watu wengi wametaka kujua, “Je, huyu babu yako Bwana Mdoe ni mtu halisi anayeishi ama ni mhusika wa kubuni?” Huenda msomaji akang’amua jibu la swali hili na mengineyo baada ya kusoma kitabu hiki…KSh310.00Tafakari ya Babu by Moran
KSh310.00 -
Tales From the Amazon by EAEP
by EAEP
The Junior Readers Series has been specifically designed to encourage reading for pleasure and to satisfy the supplementary reading needs of children in Upper Primary School. Wide and repeated reading of books in the Series will help improve both their written and spoken English.KSh360.00Tales From the Amazon by EAEP
KSh360.00 -
Taming Isoyo by Sasa Sema
by Sasa Sema
After a successful reunion with his separated parents, Paul is fortunate to join one of the best schools in the neighbourhood. Things, however, do not turn out as expected after he encounters the worst bully ever; the mighty Roba. After many bullying incidences some leading to serious injuries, it is time to deal with the bully. Does Roba get to pay for his sins? Taming Isoyo, a sequel to the novella, The Reunion, is the sum total of an adventure about overcoming phobias and fighting for one’s right and space.KSh570.00Taming Isoyo by Sasa Sema
KSh570.00 -
KSh3,250.00
-
-
-
KSh440.00
Target Mathematics KCPE Std 8 by Njau
KSh440.00 -
Targeter Combined 1 Encyclopedia
by Targeter
All learning areas are comprehensively covered.
-Ideal for use at home and at school.
-English and Kiswahili themes are as per the revised curriculum designs.
-Adequate interactive activity based questions.
-Clear full colour illustrations.
-Appealing design and layout.
-Digital literacy activities covered
KSh1,110.00Targeter Combined 1 Encyclopedia
KSh1,110.00
- International Curriculum
- TEXT
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- Donate













